Monday, April 20, 2009

Tumaini University A -Town


Mambo swaaafi kabisa.

Taswira ya nchi ya Tanzania!!

Mlima jiwe wenye mvuto wa aina yake.

Dar inapendeza kipindi cha jua tu...!!


Dar yetu kipindi cha mvua inavyokuwa ovyooo!
No mifereji, kama ipo imeziba basi tabu tupu.

Ukame @ Kituru





Marehemu Ngómbe at Kituru - Tz.

Limousine lilivyoungua Dar!!

Gari aina ya Limousine lilivyoungua pichani ni usiku wakati tukio hilo likitokea. Mpitanjia mmoja alijishuhudia moto ukiteketeza gari hilo la kifahari refu jeupe lenye hadhi yake... Pole zangu wa mmiliki wa gari hilo linalogharimu mapesa mengi.

Sunday, April 19, 2009

Habari za Siku nyingi wadau wa blog hii?
Kazi inaendelea baada ya majukumu ya kujenga taifa kukaa sawa.
Karibu na ufurahie habari picha.

Tuesday, March 31, 2009

Kuuliza si ujinga...!!

Naomba kuuliza, Hili ni tunda gani eti?

Una utamaduni wa kula matunda?


Ni swali la kizushi lakini lina umuhimu sana, tathmini.
Mwili haujengwa kwa matofali.

Yaliyojiri...

Hapa baada ya kupata chai mgonjwa huyu wa akili akipayuka yaliyokitoka katika kinywa chake.

Mgonjwa huyu wa akili nilimkuta akipata chai mgahawani kama pichani inavyoonekana.

Hapa baada ya kumaliza chai akisokota bangi tayari kuipuliza, kabla hajaanza kuisokota alikuwa akipayuka ile mbaya bila kujua ni nani saha anayempayukia toka kinywani mwake.
Huku akisisitiza siogopi mtu nalipuliza hapa hapa nje.
Utajiuliza hizo bangi anazipatia wapi na nani anampatia mimi na wewe sote hatuna majibu.

Thursday, March 26, 2009

Harakati za kupambana na Maleria pichani.

Watendaji kadhaa wa vijiji wakishiriki mafunzo.

Uji barabarani...

Umewahi kusikia/kuona uji nao ukitembezwa barabarani kama inavyouzwa kahawa?
Mimi niliifuma wilayani Masasi (Mtwara). Kibaya zaidi wanaouza wenyewe wanakuja mpaka bar, je bar utamuuzia nani na watu tayari wana-alcohol kadhaa kichwani???
Kweli wanasema tembea uone.