Friday, May 15, 2009

Under Five Catch-up Campaign (U5CC) - Lindi & Mtwara

Mama na mtoto wake mwenye umri chgini ya miaka mitano wakiwa na chandarua yao.
Watoto wawili wakiwa na vyandarua vyao.

Wakina mama waliopatiwa vyandarua bila malipo katika kampeni ya kupambana na malaria mkoani Mtwara.

Saturday, May 9, 2009

Barabara mpya kwenda wilaya ya Nanyumbu - Mtwara

Barabara yenye urefu wa kilomita 15 iliyojegwa kwa awamu ya kwanza ikiwa tayari, awamu ya pili ipo kazini ikichapa mzigo. Wilaya ya Nanyumbu toka wilaya ya Masasi mkoani Mtwara ina takribani wa umbali wa kilomita 55.
Ila ujenzi huu wa barabara unaweza kuingiwa dosari endapo ujenzi wa mifereji ukizidi kuchelewa kama uonavyo pichani. Mifereji inajengwa na serikali ya Tanzana, barabara serikali ya Japani.


Wadau na picha ya pamoja!

Baadaya Mchakamchaka wa field.