Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Saturday, January 24, 2009
Enzi ya Sultan na utawala wake
Kiti Maalumu alichokuwa akikititumia Sultan enzi za mkoloni wakati wa maongezi na mkewe.
Hili ni sebule la Sultan enzi ya mkoloni likiwa kama makumbusho, tembelea Zanzibar upate kujua mengi zaidi ya niyajuayo.
No comments:
Post a Comment
Be good.