Friday, January 30, 2009

Mambo yanapokwenda mrama!


Tairi la Lori aina ya fuso likiwa limechomoka na kubakiza nafasi ya fundi kuja kupata ugali wa watoto. Sijajua ni mzigo ulikuwa mzito ama vipi?

No comments:

Post a Comment

Be good.