Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Friday, January 30, 2009
Ujenzi huu wa bila mifereji ya maji???
Pichani ni kwamba mkandarasi alipewa kipande cha kukikarabati, lakini kiukweli mifereji ja maji hamna na ndio sababau ya hali kama hiyo pichani. Comment!!
Hao ndio mainjinia wa kibongo bwana!!
ReplyDelete