Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Wednesday, January 28, 2009
Stand ya Mabasi Masasi (Mtwara)
Bajaji, pikipiki mabasi, daladala mabasi makubwa ili mradi kila kimojawapo kina lake jambo.
Kumbe Mtwara nako tambarare, ukija mjini tuletee zawadi ya samaki nchanga haha
ReplyDelete