Ndugu wadau wa www.patastories.blogspot.com ninapenda ku-share nanyi kuwa, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu kamera ya patastories imekumbwa na matatizo ya kiufundi. Hivyo basi natoa masikitiko yangu kuwa speed ya ku-upload itakuwa ndogo kwa siku chache mpaka hapo mambo yatapokaa sawa siku si nyingi.
Niwaombe radhi wale wakiopita kuperuzi kila siku kuwa mambo yatakaa sawa karibuni.
Wenu mdau,
John Mnamba.
Pole sana sela tutamiss mapicha we ndio King of the South (TI) wetu
ReplyDelete