Kwa baadhi ya maeneo hali kama hii ya kujaza vifusi na kukaa miezi takribani sita bila kivisambaza kwa kweli huwa ni kero kubwa kwa wenye magari. Hasa inapofika kipindi cha mvua ndio hali huwa mbaya, maana hujitengeneza tope ambalo hufanya magari hasa malori kunasa kwa kutafuta kuishana. Huu ndio ukandarasi au ubabaishaji kwa hali kama hiyo?
No comments:
Post a Comment
Be good.