Saturday, February 21, 2009

Siri na raha ya kijijini ni...

...unakuwa na nyumba na uwanja mkuubwa wa kuvinjari na maisha yako.
Hali kama hii huwezi linganisha na wenye nyumba mjini kwa baadhi ya maeneo ya hali ya juu.
Wanasema maisha popote bwana bora kuridhika na ulichonacho.

No comments:

Post a Comment

Be good.