Maadhimisho ya Siku ya Malaria kitaifa mwaka huu yatafanyika mkoani Mtwara ambapo mgeni rasmi atakuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Na ufunguzi rasmi utafanyika leo majira ya saa tisa alasiri na kilele chake hapo siku ya tarehe 25 April 2009. Kutawepo na wadau mbali mbali zikiwemo sekta za serikali na binafsi zinazoshirikiana na serikali ya Tanzania katika mapambano dhidi ya malaria. Kwa habari na picha zitawajia punde kupitia blog yako ya patastories.
Malaria Haikubaliki.
No comments:
Post a Comment
Be good.