Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Wednesday, April 22, 2009
Safari mpaka mkoani Lindi!
Kwa waliopita ama kufika Lindi miaka hiyo si ajabu wakasema bado ipo vile vile. Tofauti na mkoa wa Mtwara unaopanuka kimaendeleo na kimakazi kila kukicha.
No comments:
Post a Comment
Be good.