Sunday, March 15, 2009

Mafundi nguo huko bush wakikata mashono!

Uwanja wa Fisi - Masasi (Mtwara)




Hapo ni majira ya asubuhi, ila uwanja wa fisi huu hauna sifa mbaya kama ule wa Manzese Dar.
Hapa ni jina tu na matendo yake sio kama yale wanayoyafahamu wengi toka uwanja wa fisi wa Dar.

Friday, March 13, 2009

Litambue kabla halijaisha ujezi wake!

Kiunganisho kati ya Msumbiji na Tanzania.
Lipo kusini mwa Tanzania Wilaya ya Nanyumbu.

Huku ndiko tulikotoka...

Vijijini sabuni hizi bado ni deal sana.
mjini wameshaanza kuzisahau kidoogo baadhi ya watu.

Thursday, March 12, 2009

Wapenzi na wadau wa Patastories, kwa wiki karibu moja camera yetu ya pata stories haikuwa porini, hivyokusababisha kukosa vionjo kadha wa kadha. Hii imetokana na kwamba mambo yanayosababisha kupata ugali na maharage kuwa mengi kdogo (majukumu) lakini naahidi kuendeleza libeneke kiubishi ubishi. nikutakie siku njema. Wako Mdau mkuu.

Wednesday, March 4, 2009