Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Mshikaji Nyoka huyu anatisha ni bonge la snake. Vipi Nyoka hawa upatikana wapi na je bado wapo duniani? au ni wale wa kuigiza kama wa movie moja Snakes on the plane.
Mzee blog imetulia nitakuwa nakutembelea kila wakati. Nimefurahi sana kwani nimekuta hata picha za kule mangaka as well as Masasi. Ebwana yule kuku kule Mtwara naona nae umemrusha make kala lift kwenye Balon. Sio mchezo big up man.
Mshikaji Nyoka huyu anatisha ni bonge la snake. Vipi Nyoka hawa upatikana wapi na je bado wapo duniani? au ni wale wa kuigiza kama wa movie moja Snakes on the plane.
ReplyDeleteMzee blog imetulia nitakuwa nakutembelea kila wakati. Nimefurahi sana kwani nimekuta hata picha za kule mangaka as well as Masasi.
ReplyDeleteEbwana yule kuku kule Mtwara naona nae umemrusha make kala lift kwenye Balon. Sio mchezo big up man.