Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Imezoeleka sana kuwa wazungu ndio wateja/wanunuaji wakubwa wa vitu hivi, sisi waafrica hasa watanzania wenzangu tatizo ni nini? Hu ni uasilia wetu na culture yetu ila tunaupuuza na kutowaunga mkono wenzetu.