Tuesday, June 2, 2009

Before and after Overtake...! What you see?

Kwa mbali utamuona Mbuzi akipigwa na upepo kama mizigo mimgine.
Mbuzi alie hai akiwa amepakiwa juu kama mizigo mingine.

Thursday, May 21, 2009

Snake @ Field.

Ukiwa field haya ni mambo ya kawaida lakini tahadhari izingatiwe.

The ujumbe!


Chapati za kutosa kama maandazi!


Hii niliibamba wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara, chapati hizi zinapikwa kama uonavyo maandazi kwenye mafuta. Wanasema tembea uone, mimi nimeshaona.

Wanafunzi wa sekondari wakiwa na ndoo za maji kuelekea eneo la shule.

Wednesday, May 20, 2009

Tuesday, May 19, 2009

Umoja Bridge mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.




Upande niliopo ni wa Tanzania na upande wa pili ni Msumbiji.
Daraja lipo Mkoani Mtwara wilaya ya Nanyumbu sehemu ijulikanayo kwa jina Mtambaswala.

Kichanda!

Click here for more information...!

Libeneke la Under Five catch-up Campaign Southern Zone - Tanzania.

Mwanamama akionyeshwa jinsi ya kuweka sahihi kumuwakilisha mwanae.
Mkakati wa ugawaji ulipokuwa katika hatua za awali.
Watoa vyandarua wakikagua majina ya watoto walioandikishwa.
Wananchi waliojitokeza kuwekewa dawa katika vyandarua vyao.