Friday, February 6, 2009

Baiskeli na vimbwanga...

Kipara cha baiskeli hicho.

Staili hii pichani ngoja nikuchekeshe, kwa hapo sijui jamaa ndio kaipaki au la!!
Ila kuna style kama hiyo panapopaki baiskeli nyiingi hitumika kuibiwa mtu usafiri wake, kwani pindi watapoiweka miguu juu ukija na kuchanganyikiwa huwezi ijua kama ndio yako na ukipoteza netwrok tu umeenda na maji tena ya mafuriko. Wameibiwa wengi sana kwa style hiyo Mtwara.


No comments:

Post a Comment

Be good.