Friday, February 6, 2009

Ukandarasi mteremkoni!!


Picha ya chini inaonyesha mafundi wakimwaga zege kwenye njia iendayo kijiji kimoja kiitwacho Lipalwe kilichopo wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara. Zege hilo linamwagwa mteremkoni kwa ajili ya kipita magari bila matatizo hasa kipindi cha mvua, kama picha ya juu inavyoonyesha zege la awali likiwa bado linadai.

No comments:

Post a Comment

Be good.