Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Friday, February 6, 2009
malipo malipo malipo!
Sio malipo ya East Africa no! Hawa ni wakulima wa korosho wakisubiri maliopo yao ya awamu ya pili.
Kama mjuavyo siku hidhi mambo kwa kushirikiana na vyama vya ushirika.
No comments:
Post a Comment
Be good.