Friday, February 6, 2009

Mchemsho wa "ngozi ya Mbuzi"

Mimi binafsi nilishangaa, jikoni kunachemshwa ngozi ya Mbuzi na utumbo wake.
Sijui na wewe mwenzangu huu mshamba kama mie kwa kitu hicho pichani?

No comments:

Post a Comment

Be good.