Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Saturday, February 7, 2009
Alini-time kiukweli kweli hapa!!
Hata habari sikuwa nayo wakati ikiviziwa picha hii.
Ebwanaee duuh dogo umetoka kifisadi fisadi hapo balaa.. Ile ishu ya kampuni yako ya Kagoda naona bado wanakuogopa kukupeleka kwa pilato, hongera
ReplyDelete