
Friday, April 24, 2009
Uzinduzi rasmi wa Malaria Day 23/4/2009


Maadhimisho haya ya siku ya malaria duniani yamezinduliwa rasmi jana tarehe 23 April 2009 na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Mstaafu Anatoli Tarimo. Mwenye kaunda suti ya Khaki. Wakazi wa mtwara watapata pia fursa ya kumuona Balozi wa Malaria Ivyone Chakachaka akiambatana na Mkongwe Lady JD. Patakuwa hapatoshi kwa wakazi wa mji huu.Malaria Day Mtwara!
Hii ni idara ya Damu salama.
Banda la Tiba nalo liliwepo.
Wadau wengine wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika mapambano dhidi ya malaria wapo katika kuadhimisha siku hii ya malaria ambapo kilele chake ni tarehe 25 april 2009 Mheshimiwa waziri Mkuu akiwa mgani rasmi. Habari za kufurahisha ni kwamba Lady JD na Ivyone Chakachaka tayari yupo mjini Mtwara Leo.Thursday, April 23, 2009
Siku ya Malaria mwaka huu Mtwara!
Maadhimisho ya Siku ya Malaria kitaifa mwaka huu yatafanyika mkoani Mtwara ambapo mgeni rasmi atakuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Na ufunguzi rasmi utafanyika leo majira ya saa tisa alasiri na kilele chake hapo siku ya tarehe 25 April 2009. Kutawepo na wadau mbali mbali zikiwemo sekta za serikali na binafsi zinazoshirikiana na serikali ya Tanzania katika mapambano dhidi ya malaria. Kwa habari na picha zitawajia punde kupitia blog yako ya patastories.
Malaria Haikubaliki.
Wednesday, April 22, 2009
Donate what you can...
Donate for Mtwara Volunteers Crew (MVC)
details and contacts below pictures:


‘We make a living by what we get, but we make a life by what we give’
MTWARA
VOLUNTEERING CREW
Please help us raise money for the people living in Mtwara, Tanzania. Your donations will go
towards supporting many causes such as;
• ORPHANS
• HIV/AIDS GROUPS
• EMPOWER WOMEN
• EDUCATION
Members of the Mtwara Volunteering Crew will be ascending
Mount Snowdon on Sunday 12th April 2009.
Please donate whatever you can afford, it doesn’t have to be
Money, MVC also donate clothes, computers and educational
& Musical Aids to Mtwara.
FOR MORE INFORMATION ON THE EVENT AND HOW TO
DONATE, PLEASE CONTACT:
Simon Flaherty
07912316852 / simonflaherty@hotmail.com
For information on Mtwara Volunteering Crew, please contact:
Maria Antoraz Alonso
Tel: 07863336962 Email: miminimalaika@hotmail.com
MTWARA
VOLUNTEERING CREW
Please help us raise money for the people living in Mtwara, Tanzania. Your donations will go
towards supporting many causes such as;
• ORPHANS
• HIV/AIDS GROUPS
• EMPOWER WOMEN
• EDUCATION
Members of the Mtwara Volunteering Crew will be ascending
Mount Snowdon on Sunday 12th April 2009.
Please donate whatever you can afford, it doesn’t have to be
Money, MVC also donate clothes, computers and educational
& Musical Aids to Mtwara.
FOR MORE INFORMATION ON THE EVENT AND HOW TO
DONATE, PLEASE CONTACT:
Simon Flaherty
07912316852 / simonflaherty@hotmail.com
For information on Mtwara Volunteering Crew, please contact:
Maria Antoraz Alonso
Tel: 07863336962 Email: miminimalaika@hotmail.com
Get to know "Mtwara Volunteering Crew (MVC)"
Once again it’s my pleasure to give you great news about our continuing volunteering effort to assist the people of Mtwara through Mtwara Volunteering Crew (MVC). I hope you will post this and the photos on your esteemed blog so that my fellow Tanzanians and people around the world could either contribute to the cause or give us some ideas on how to tackle some of the challenges.
In summary, following a trip to Mtwara with 11 volunteers last summer, we established MVC which is soon to be registered and officially recognised as a charity organisation. Our mission in the region is to;
· Identify, initiate and raise awareness of potential development and investment areas
· Assist orphans
· Education
· Women empowerment
· HIV/AIDS awareness and assistance of infected persons.
Therefore, since last summer we have been trying to raise funds through mount climbing, sale of second hand products, direct approach to potential donors and several multi-national companies.
As you can see in the photos, one of our members Simon Flaherty accompanied by another volunteer, Rajan Moom managed to climb Mount Snowdon in the UK and raised £300 in the process.
If anyone would like to see the MVC Group Report FY08 or contribute in any way please get in touch with me and we can get the ball rolling. Thanks, Amin M. Sinani MSc MIHT Amin_Sinani@yahoo.com
See the picture below for details:



Tuesday, April 21, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)













