Friday, January 23, 2009

Daraja la Umoja




Daraja kiungo baina ya nchi mbili Tanzania na Msumbiji linalopita juu ya mto Ruvuma likiwa linaendelea kujengwa, pichani ni maendeleo yalipo mpaka januari hii ya mwaka 2009.


No comments:

Post a Comment

Be good.