Friday, January 23, 2009

Kanisa kongwe!

Hili ni moja ya makanisa ya zamani sana, wanaotoka pande za ifakara watakuwa wanaufahamu zaidi. Tembelea ifakara usafishe macho na kikwangua anga hicho.

No comments:

Post a Comment

Be good.