Friday, January 23, 2009

Kisima!

Uvunaji wa maji ya mvua umekuwa njia mbadala sana ya kuepuka shida ya maji katika maeneo mengi vijijini, cha kuvutia visima vingi vimejengewa kwa juu kuzuia watoto wadogo kuweza kuhatarisha maisha yao.

No comments:

Post a Comment

Be good.