Friday, January 23, 2009

Solar power

Nishati ya umeme itumiayo mionzi ya jua imekuwa ikitumika sana maeneo ya vijijini, pamoja na hayo miradi mbali mbali ya kimataifa imekuwa ikiwezesha kwa baadhi ya zahaniti na vituo vya afya ikiwa ni pamoja na nyumba za wahudumu kuopata huduma ya umeme huu.

No comments:

Post a Comment

Be good.