Friday, January 23, 2009

Hali halisi

Maji ya kuoga katika moja ya Guest House moja ndani ya wilaya fulani, hali hii huna budi kukubaliana na matokeo maana maji ndio hayoo toka kisimani.
Pichani uonacho ndio key holder ya guest husika, mwenye guest house anamiliki pikipiki mbili na hela yaingia kila kukicha lakini pichani unajioeaa moja ya key holder ya Guest house yake.


No comments:

Post a Comment

Be good.