Pichani utaona weusi weusi, huo ni utaalamu uliosukiwa na kutandazwa chini material aina ya mpira kuepusha magari yapitayo kutokukwama mchangani. Kwa waliowahi kufika Msimbati (mtwara) si pageni kwao, ni karibu kabisa na inapozalishwa gesi izalishayo umeme, na kuna beach almaarufu msimbati.
No comments:
Post a Comment
Be good.